Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Mwale wa Jua PDF Print E-mail
12 Agosti 2010

Ray Mazimba, mmoja wa wahusika katika mchezo wa Wahapahapa, ni DJ maarufu katika radio ya Masifa FM iliyoko huko Kalumbi. Katika radio hii Ray anaendesha kipindi maarufu kinachojulikana kama “Mwale wa Jua”. Kila wiki Ray anasaka na kufanya mahojiano na mmoja wa wanamuziki maarufu wa Kitanzania katika kipindi hiki.

BendiGospelBongo FlavaReggae

Kwa kutumia kipindi hiki Ray anawapa wasikilizaji fursa ya kusikiliza wasanii hawa wakiimba nyimbo zao maarufu moja kwa moja toka studio na baadae kusikiliza nyimbo zilizorekodiwa kwenye santuri zao.

Mwale wa JuaKipindi hiki cha Mwale wa Jua kinayo kimepewa haki kisheria, toka kwa wanamuziki wenyewe, ya kukusanya nyimbo zao zilizotumikak kwenye kipindi hiki na kutengeneza albamu moja mara nne kwa mwaka na hatimae kuzisambaza kwa wapenzi wa muziki kupitia msambazaji maarufu hapa Tanzania, GMC Records. Albamu hizi zinapatikana Tanzania nzima.

Unaweza kusikiliza albamu hizi kwa kubofya katika vipicha hapo juu. Utaweza kusikiliza nyimbo za injili, rege, bongo flava, na bendi.

Pia unaweza kusikiliza mahojiano ya kipindi hiki cha Mwale wa Jua hapo chini

 

Weka Maoni

Security code
Upya

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.