Albino Fulani si tu kwamba ni mwanamuziki, bali pia mwanaharakati na mtetezi wa haki za binadamu, hasa wale wenye ulemavu wa ngozi, ambao kwa siku za hivi karibuni wamekuwa wakishikilia roho
zao mkononi kwa watu kuwawinda kama wanayama wa porini.
Albino Fulani amekuwa akitumia kipaji chake cha muziki kupaza sauti za wale wasio na pa kuzungumzia. Hivi majuzi ametoa tena video nyingine ambayo ndani yake amewashirikisha wakali wengine wa tasnia ya muziki wa kizazi kipya, Belle 9, Sugu, na Mwana FA.
Albino Fulani anayo kila sababu ya kujinafasi katika ukurasa wetu wa bendi/msanii kali ya wiki.
|
Maoni
Also visit my web page :: Kelsey
and I to find It truly useful & it helped me out much.
I hope to give one thing back and help others like you
aided me.
Here is my web site - Terese
I provide credit and sources back to your website?
My website is in the exact same niche as yours and my visitors would definitely benefit from
some of the information you present here. Please let me know if
this ok with you. Appreciate it!
My web-site; Credit Repair Companies Baytown TX
RSS