Wengi wetu tunamfahamu Mzee Yusuf kama gwiji la muziki wa Mwambao, lakini shuruti tufahamu kuwa Mzee Yusuf anapenda sana kujichnganya mtaani na huko ndiko anakopata visa
vinavyomsaidia kutunga mashairi yake. Tazama katika video hii uone kijiwe chake cha kuchakazia mishkaki.
|
Maoni
http://es.testosteron.space/
RSS