Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?

Je una video ambayo ungependa kuiweka kwenye wavuti yetu? BOFYA HAPA

Chiddi, Mkali wa Mitindo Huru

Chiddi Benz, Chiku na washkaji zake wakifyatuka na Hip Hop ya Kibongo wakitumia mtindo huru kuachia mashairi yao ambayo yako katika namna fulani ya kujigamba, hata hivyo Hip Hop

ilitokea katika majigambo kwa hivyo tunakanyaga na kusongesha. Kuna habari pia kwamba siku zi nyingi Chidi Benz ataelekeza mashambulizi yake ya fani katika kutangaza Luningani, wako waliompa big-up kwa move hiyo, lakini pia wako waliokerwa kwa kile walichodai ni Chiddi kuacha fani na kwenda kufanya kazi ya kutumwa. Wewe unaonaje?

 

Enjoy de video mate!

 

 

Maoni  

 
0 #4 onesphory gabriel 2011-02-17 11:35
we ni mkali bro lakin jaribu kupika track zako kwa beat za duke mi naona beat ni kali kama ulivyo wewe kwahiyo mkali + mkali= BALAAA fanya hivyo ili tupate bonge moja la BUUUGHUDANI BANA.
 
 
0 #3 robert 2011-02-14 14:08
chid cjui ila nahic unapotea hiv, turudishie tena ngoma itambae kaka!!!
 
 
0 #2 ELIEZER SANGA 2011-01-13 10:07
Mhhhhhh! kweli umetingwa.
 
 
0 #1 Angel Msuya 2011-01-13 10:03
Mbona kimya au umefulia? Unawadisi mashabiki wako. WAKE UP OK!
 

Weka Maoni

Security code
Upya

BONGO WIKI HII

ZILIZOTUFIKIA

 1. Rama Dee/G Nako/Pipi
  Make Up

 2. Wakazi
  Deuces Remix

 3. Roselin
  Nimekuchagua

 4. Nevy D
  Cute Girl

 5. Watengwa/Waturu
  Hatujaja Kujaribu
Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.