Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?

Je una video ambayo ungependa kuiweka kwenye wavuti yetu? BOFYA HAPA

Ashimba Ugaibuni

Ashimba, mwanamuziki wa Kitanzania ambaye amekuwa hachezi mbali na masikio ya wapenzi wengi wa Muziki wa nyumbani, muda si mchache alipata kukutana na wakali wengine, Pandeiro Repique Duo, toka Brazil  na kufanya mambo huko nchini Denmark, Copenhagen. Video hii ilirekodiwa katika studio moja ndogo huko jijini Copenhagen.

Ni kwa kitambo Ashimba amekuwa akiendeleza mapambano katika anga la muziki wa Kitanzania na sasa sina shaka kwamba jamaa ameshakuwa wa Kimataifa. Enjoy ze video!

 

 

 

 

 

Weka Maoni

Security code
Upya

BONGO WIKI HII

ZILIZOTUFIKIA

 1. Rama Dee/G Nako/Pipi
  Make Up

 2. Wakazi
  Deuces Remix

 3. Roselin
  Nimekuchagua

 4. Nevy D
  Cute Girl

 5. Watengwa/Waturu
  Hatujaja Kujaribu
Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.