Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?

Je una video ambayo ungependa kuiweka kwenye wavuti yetu? BOFYA HAPA

Twanga Bab'kubwa

Twanga Pepeta ni bendi maarufu ya dansi nchini Tanzania. Bendi hii ni bendi yenye ubavu mkubwa mno kwani mwaka huu katika tuzo za muziki za Kili, ilijinyakulia tuzo tatu na kutoweka nazo.

Kushinda tuzo hizi hakukuwa muhimu kwa bendi hii kama suala zima la kusherehekea furaha yao ya kushinda tuzo hizo wakiwa bega kwa bega na wapenzi wa kazi yao.

Hii hapa ni video ya namna jamaa walivyobanjuka na wapenzi wao siku kadhaa baada ya kushinda tuzo zao hizo.

 

 

 

 

Maoni  

 
0 #1 Jully 2011-04-07 23:58
Je ni kweli Twanga itaweza kusimama tena?
 

Weka Maoni

Security code
Upya

BONGO WIKI HII

ZILIZOTUFIKIA

 1. Rama Dee/G Nako/Pipi
  Make Up

 2. Wakazi
  Deuces Remix

 3. Roselin
  Nimekuchagua

 4. Nevy D
  Cute Girl

 5. Watengwa/Waturu
  Hatujaja Kujaribu
Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.