Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?

Je kuna msanii unayemfahamu na hayuko kwenye wavuti yetu? BOFYA HAPA KUMUWEKA

Kidumu

Kidumu ni mwenyeji wa Rwanda lakini kwa sasa anaishi Kenya, na wakati mwingine ukikaa vibaya unaweza kudhani jamaa ni mwenyeji wa Tanzania maana mara kibao unaweza kugongana naye kitaa.

 

Jamaa anazungumza Kiswahili fasaha na ndio lugha yake kuu katika kazi yake ya muziki. Anaunganisha nguvu na diva wetu, Lady Jay Dee, na kwa pamoja wanakamata safu hii ya mkali wa wiki kwa video ya tamu ya "Nitafanya". ENjoy Mdau.

 

 

Maoni  

 
0 #1 Angel 2011-01-17 16:07
nakubali kazi zako,ongeza juhudi na nyimbo zako zinafunza na kuburudisha.
 

Weka Maoni

Security code
Upya

BONGO WIKI HII

ZILIZOTUFIKIA

 1. Rama Dee/G Nako/Pipi
  Make Up

 2. Wakazi
  Deuces Remix

 3. Roselin
  Nimekuchagua

 4. Nevy D
  Cute Girl

 5. Watengwa/Waturu
  Hatujaja Kujaribu
Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.