Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?

Je kuna msanii unayemfahamu na hayuko kwenye wavuti yetu? BOFYA HAPA KUMUWEKA

AT

Baada ya juma lililopita Jide na Kidumu kutupambia ukurasa huu, juma hili ni Mtanzania mwingine AT, mzee wa Nipigie, na mwanadada toka Mombasa, Nyota Ndogo, ndo wanaopamba ukurasa huu murua.

Tunajaribu kuangalia ni kwa kiasi gani wanamuziki wetu wameshapiga hatu kubwa kwenye kuukumbatia Uafrika Mashariki, ni hatu kubwa inayozidi hata ile ya watunga sera.

 

Leo katika ukurasa huu AT na Nyota Ndogo wanatwambia "Mpishi", mpishi kafanya nini, sikiliza na utazame video ujibiwe. Wiki njema.

 

 

Maoni  

 
+7 #2 Nase mwakasuka 2011-01-13 10:25
dooh!at upo juu ile mbaya coz hakuna hata sngo yako ambayo haijawah kuniboa cop unanmaliza 2 bt utamaliza vbaya sty hvyohvyo
 
 
0 #1 abhey battasah 2010-12-27 01:06
simchezo jama mumedatisha kichiziiiiiiii looooool!
 

Weka Maoni

Security code
Upya

BONGO WIKI HII

ZILIZOTUFIKIA

 1. Rama Dee/G Nako/Pipi
  Make Up

 2. Wakazi
  Deuces Remix

 3. Roselin
  Nimekuchagua

 4. Nevy D
  Cute Girl

 5. Watengwa/Waturu
  Hatujaja Kujaribu
Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.