Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?

Je kuna msanii unayemfahamu na hayuko kwenye wavuti yetu? BOFYA HAPA KUMUWEKA

Mh. Temba

Kutoka TMK, Mh. Temba na Chege wanafunga safari hadi jijini Nairobi na kupata tafu la dada anayesumbua sana anga la muziki wa Kizazi kipya kwa sasa, si mwingine, Wahu. Kwa pamoja wanakuja kupamba ukurasa wetu na wimbo wa "Weka Juu".

Jamaa wanakwambia katika juma hili sahau shida zako zote na uweke mikono juu kuonesha ishara ya kutokata tamaa.

 

Inapendeza sana jinsi wasanii wetu walivyokumbatia kwa moyo mmoja suala zima la Uafrika mashariki, wakati wanasiasa wetu bado wanacheza na makaratasi kuweka mambo sawa wao tayari wamaeshaanza kufanza mambo kwa vitendo. Kula raha na uwe na wiki njema.

 

 

Maoni  

 
+12 #2 Nase 2011-01-13 10:37
wa2 wang mnatsha saaaaanaaaa kwan mkvamia jukwaa mnapoteza ile mbaya congtulation all ov u
 
 
+5 #1 Tina 2010-12-05 16:45
mtu wangu unatisha na nakufagi sanaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaa a
 

Weka Maoni

Security code
Upya

BONGO WIKI HII

ZILIZOTUFIKIA

 1. Rama Dee/G Nako/Pipi
  Make Up

 2. Wakazi
  Deuces Remix

 3. Roselin
  Nimekuchagua

 4. Nevy D
  Cute Girl

 5. Watengwa/Waturu
  Hatujaja Kujaribu
Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.