Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?

Je kuna msanii unayemfahamu na hayuko kwenye wavuti yetu? BOFYA HAPA KUMUWEKA

AY (Ambwene Yesaya)

Ambwene Yesaya (AY) ameshanyakua tuzo za kutosha katika tasnia ya muziki, hii ikiwa ni kuanzia nchini kwake na Afrika kwa ujumla.

AY ni mmoja wa wasanii waliofanikiwa kuutoa muziki wa Afrika ya Mashariki katika mipaka yake iliyozoeleka na kuusambaza karibu Afrika yote.

 

Katika kibao chake cha "Kings and Queens" anawashirikisha mwanamuziki Amani wa nchini Kenya na mwanadada mwingine anayekwenda kwa jina la Jokate. Enjoy ze video na uwe na wiki njema.

 

 

Maoni  

 
+10 #3 paul kasawara 2010-12-29 20:11
napenda sana vitu vyenu vya ukweli
 
 
+3 #2 p bang 2010-12-29 18:43
man whether they like or not but still we mkali but please keep it up and go beyond achana na kids wanaopenda beef watangaze majina kama machoni kama wa2 vile
 
 
+2 #1 Neema 2010-12-07 09:43
big up man,nilikuwasij ui kama Joketi ni msanii nimemkubali,kee p it up
 

Weka Maoni

Security code
Upya

BONGO WIKI HII

ZILIZOTUFIKIA

 1. Rama Dee/G Nako/Pipi
  Make Up

 2. Wakazi
  Deuces Remix

 3. Roselin
  Nimekuchagua

 4. Nevy D
  Cute Girl

 5. Watengwa/Waturu
  Hatujaja Kujaribu
Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.