Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?

Je kuna msanii unayemfahamu na hayuko kwenye wavuti yetu? BOFYA HAPA KUMUWEKA

Marlaw

Marlaw ni kifaa kingine chenye uzito wa kutosha katika sekta ya muziki wa kizazi kipya. Amekuwa kila akiingia studio na kufyatua kitu kinakuwa cha uhakika. Siku za hivi karibuni nilifanikiwa kuhudhuria harusi moja, mara baada ya utoaji zawadi MC akaamua kuwafuta watu jasho na kibao cha "Pii Pii" cha Marlaw, kufumba na kufumbua dancing floor ika imejaa si tu watoto bali na baba na mama zao nao wakigombea nafasi humohumo.

Nikaona si vibaya Marlaw akitupambia ukurasa wetu kwa kanzi nzuri aliyofanya ya kuunganisha rika tofauti katika muziki wa kizazi kipya. Kula video mdau.

 

 

Maoni  

 
0 #1 Tina 2010-12-05 16:35
marlaw namkubali sana kimuziki zaidi, azidi kumuomba Mungu nami namuombea azidi kufanya vizuri zaidi na ajiendeleze kielimu mana elimu haina mwisho,fani na shule ndio mwake marlaw
 

Weka Maoni

Security code
Upya

BONGO WIKI HII

ZILIZOTUFIKIA

 1. Rama Dee/G Nako/Pipi
  Make Up

 2. Wakazi
  Deuces Remix

 3. Roselin
  Nimekuchagua

 4. Nevy D
  Cute Girl

 5. Watengwa/Waturu
  Hatujaja Kujaribu
Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.