Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?

Je kuna msanii unayemfahamu na hayuko kwenye wavuti yetu? BOFYA HAPA KUMUWEKA

Linah

Miaka si mingi imepita ambapo ilikuwa ni nadra sana kusikia wanamuziki chipukizi wa jinsia ya kike. Leo ukifumba jicho kidogo tu mara utakapofungua utakuta wamepanga foleni ndefu, wanaibuka kila siku. Lakini ukweli unabaki kwamba si wote wanaotishia uwepo wa wasanii wakongwe.  Kati ya wachache ambao wametokea siku za karibuni na kuwafanya kuwa gumzo midomoni mwa wapenzi wa muziki ni Linah.

Linah na kibao chake cha "Atatamani" wamesumbua vituo karibu vyote vya radio na televisheni kwa kumata chati za juu za muziki. Huyu hapa Linah, anatupambia ukurasa huu kwa wiki hili.

 

 

 

 

 

Maoni  

 
+3 #7 STEVIE 2011-03-10 10:47
Ilike how Ilnar Sings huwa nafurahi nkiangalia video ya wrong number aliyoimba na Barnabas alivyo serious, then akalainika..... ha ha ha. Sipendi anyoteswa pale kwenye wimbo wabora nikimbie du u u utadahini kweli. Hivi nimeingia hukukutafuta namba yake ya kili awards nimpigie kura....
 
 
0 #6 Dave Posta 2011-01-29 17:12
nampenda linar
 
 
0 #5 mwl Amani 2011-01-22 10:14
we mkali komaa mama
 
 
0 #4 judear 2011-01-07 00:55
i appreciate your work,b persistence & focus on your thing
 
 
0 #3 Noela 2011-01-06 15:48
hongera sana linah unatisha sana upo juu ile mbaya yani nakuubali 100%
 
 
0 #2 JUMA 2010-12-06 07:14
She is needed to left according her position
 
 
0 #1 Realy 2010-12-03 21:34
I wish even she remains there for all weeks
 

Weka Maoni

Security code
Upya

BONGO WIKI HII

ZILIZOTUFIKIA

 1. Rama Dee/G Nako/Pipi
  Make Up

 2. Wakazi
  Deuces Remix

 3. Roselin
  Nimekuchagua

 4. Nevy D
  Cute Girl

 5. Watengwa/Waturu
  Hatujaja Kujaribu
Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.