Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?

Je una video ambayo ungependa kuiweka kwenye wavuti yetu? BOFYA HAPA

Bi. Kidude

Tumeshasema tena na tena, ni ngumu kuzungumzia muziki wa mwambao bila ya kutaja jina la Bi. Kidude. Labda niiweke kwa mtindo mwingine ili tuelewane vyema, ni ngumu kuzungumzia maisha ya samaki bila kuyataja maji (yawe ya chumzi au baridi. Huo ndio umuhimu wa Bi. Kidude katika muziki wa Taarab.

 

Mara nyingi maneno huwa hayavunji mfupa lakini ukiwa na picha walahi inakuzungumiza maneno elfu moja. Tazama kijipafomensi hiki kidogo ambacho Bi. Kidude alihudhuria kwenye moja ya maonesho ya Jahazi Modern Taarab. Tazama kwa umakini mkubwa bibi wa miaka 100 anavyolitawala jukwaa na pia usiache kusikiliza sauti mororo ya ajuza huyu.

 

 

Maoni  

 
0 #2 issa kassim 2010-12-10 09:52
kwamaoniyangu mimi sintoachana mbali namooniya azizasulaimani mimi ninachokushauli nibolaungeachat alabu kwasababutalabu nimziki nakila ainayamziki wowotenihalamu ukitakakupataus hahiwahilo soma vitabuvifatavyo QUR AN TUKUFU HADITHI BIBILIA UA NGALIE MUNGU NAMITUMEWAKE WANASEMAJE KUHUSUHILO KWANINIULIPEWA MSAHAFU UKAUKATA? HAUONIKAMANILAN A YAMUNGU KUKATA KITABUCHAKE CHAKUFANYA TUBUKWA MUNGU WAKO NAMUABUDIA YEYETU NASIOKUENDELEA NAMAMBOYATALABU HAYAFAIHATAKIDO GO USISAHAU KUTOAZAKA NASADAKA NAKUSAIDIA MASIKINI NAWATOTO MAYATIMA NAKUTAKIAKILALA HELI.
 
 
-1 #1 azizasuleiman 2010-12-04 10:57
Mimi ninachokushauli ni bora ukaacha mambo yaatarabu ukamcha mungu kwani muda wako umesha kuwa mkubwa. na kwanini ulishilikishwa kuimba wimbo wa haamada wakati watu wanasema sio wimbo mzuri.
 

Weka Maoni

Security code
Upya

BONGO WIKI HII

ZILIZOTUFIKIA

 1. Rama Dee/G Nako/Pipi
  Make Up

 2. Wakazi
  Deuces Remix

 3. Roselin
  Nimekuchagua

 4. Nevy D
  Cute Girl

 5. Watengwa/Waturu
  Hatujaja Kujaribu
Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.