Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?

Je una video ambayo ungependa kuiweka kwenye wavuti yetu? BOFYA HAPA

"Sauti ya Sauda" ndani ya WOMAD

Sauda Simba ni vitu vingi kwenye sanaa lakini kilichotokea kumweka kwenye kwenye mwanga zaidi ni tasnia ya muziki. Sauda ana albamu mbili sasa sokoni, na ya hivi karibuni, "Sauti ya Sauda", imekuwa gumzo mitaani hasa kutokana na kibao chake cha "Globala Crisis".

 

Habari tulizozipata siku za hivi karibuni ni kwamba albamu hii mpya imekubaliwa kuwekwa katika duka la WOMAD. Msikilize Sauda katika mahojiano na BBC idhaa ya Kiswahili.

 

 

Weka Maoni

Security code
Upya

BONGO WIKI HII

ZILIZOTUFIKIA

 1. Rama Dee/G Nako/Pipi
  Make Up

 2. Wakazi
  Deuces Remix

 3. Roselin
  Nimekuchagua

 4. Nevy D
  Cute Girl

 5. Watengwa/Waturu
  Hatujaja Kujaribu
Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.