Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?

Je una video ambayo ungependa kuiweka kwenye wavuti yetu? BOFYA HAPA

Mchiriku Wapelekwa Copenhagen

Kundi la muziki wa aina ya Mchiriku a.k.a Mnanda (Jagwa Music) limeanza makamuzi ya kasi kubwa nchini ya Denmark. Hizi ni baadhi ya picha za namna shughuli ilivyokuwa hapo jana usiku. Leo hii kuanzia saa Mbili usiku Jagwa watakuwa katika mji wa Roskilde kwa ajili ya makamuzi mengine.

Kwa niaba ya wasanii wote pamoja na kampuni za jahazi media na maisha music tunapenda kutanguliza shukrani za dhati kwa jumuiya ya watanzania ambao walijitokenza kwa wingi kujumika nasi.

 ahsanteni

Kwame Mchauru

 

Weka Maoni

Security code
Upya

BONGO WIKI HII

ZILIZOTUFIKIA

 1. Rama Dee/G Nako/Pipi
  Make Up

 2. Wakazi
  Deuces Remix

 3. Roselin
  Nimekuchagua

 4. Nevy D
  Cute Girl

 5. Watengwa/Waturu
  Hatujaja Kujaribu
Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.