Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Utayarishaji

hermis in the studio

Fundi mitambo, Hermis, akisimamia shughuli ya kurekodi sauti za waigizaji wa mchezo wa Wahapahapa katika studio za MFDI-TZ, Msasani, Dar es Salaam.

wahapahapa studio recording waandishi wakipanga mustakabali wa mchezo

Waigizaji wa mchezo wa Wahapahapa wakiingiza sauti za wahusika katika studio za MFDI

Waandishi wa mchezo wa Wahapahapa wakitayarisha mustakabali wa Wahapahapa kwa muhula mwingine

 

Tazama video hii uone mchakato mzima wa utayarishaji wa mchezo uupendao wa Wahapahapa.

 

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.