Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?

Je una video ambayo ungependa kuiweka kwenye wavuti yetu? BOFYA HAPA

Karola Kinasha

Wavuti ya Wahapahapa inazungumza na mwanamuziki mkongwe wa nchini Tanzania, Karola Kinasha.

Karola ni mmoja kati ya wanamuziki wa kwanza kabisa wa kike kuvunja mwiko wa kusimama stejini na kuburudisha wapenzi wa muziki. Alianza muziki kipindi kile tasnia hii ikiwa bado imetawaliwa na wanamuziki wa jinsia ya kiume.

Karola anazungumzia mchango wake katika tasnia ya muziki wa Tanzania. Anazungumzia alikotokea na alipo sasa.

Msikilize akujuze falsafa zake katika tasnia ya muziki.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Weka Maoni

Security code
Upya

BONGO WIKI HII

ZILIZOTUFIKIA

 1. Rama Dee/G Nako/Pipi
  Make Up

 2. Wakazi
  Deuces Remix

 3. Roselin
  Nimekuchagua

 4. Nevy D
  Cute Girl

 5. Watengwa/Waturu
  Hatujaja Kujaribu
Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.