Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?

Je kuna msanii unayemfahamu na hayuko kwenye wavuti yetu? BOFYA HAPA KUMUWEKA

Stara Thomas

Stara ni mfano mzuri wa kizazi kipya cha muziki wa kisasa wa Tanzania. Anaimba R'n'B, souls na zouk kwa lugha ya Kiswahili.

Stara, ambaye anatokea wilaya ya mwanza, alianza kuimba akiwa na umri wa miaka sita na wakati akiwa sekondari alikuwa akiimba jukwaani akiwa na makundi nguli ya muziki kama The Kilimanjaro Band na In Africa Band. Akiwa bado kinda alitunga wimbo, Children's Right na miaka miwili baadaye alitunga wimbo wa Children's Right zote zikiwa katika lugha ya kiingereza.

Stara alianza kujulikana zaidi mwaka 2000 wakati alipoanza kuimba kwa Kiswahili ambapo muda mfupi tu alikuwa na nyimbo zilizozoa mashabiki lukuki redioni kama vile Sikia, Mimi na Wewe ambazo zilikuwa ndani ya albamu yake ya Nyuma Sitorudi Nyuma. Kipaji chake kilijulikana zaidi mwaka 2003 alipopata tuzo ya mwanamuziki bora wa kike wa mwaka (Kilimanjaro Music Award for Best Female Vocalist in Tanzania).

 

Mwaka 2004 alitoa albamu yake ya pili iiywayo Hadithi na kwa sasa yumo mbioni kutengeneza albamu ya tatu.

 

 

Maoni  

 
+11 #1 Lilian 2011-02-06 16:05
stara nakukubali kwa kiwango cha juu, lakini mbona siku hizi umetulia sana huko uliko kanda ya kaskazini hujatutembelea muda mrefu sana.
 

Weka Maoni

Security code
Upya

BONGO WIKI HII

ZILIZOTUFIKIA

 1. Rama Dee/G Nako/Pipi
  Make Up

 2. Wakazi
  Deuces Remix

 3. Roselin
  Nimekuchagua

 4. Nevy D
  Cute Girl

 5. Watengwa/Waturu
  Hatujaja Kujaribu
Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.