Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Utangulizi

UtanguliziWAHAPAHAPA ni mchezo wa radio wenye nia ya kubadili mtazamo wa kimaisha kuwa chanya. Mchezo huu unalenga suala zima la mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI, matibabu na uangalizi.

Mchezo huu unarushwa kila wiki kwa namna ya kuvutia na kuelimisha, kwa njia ya mawasiliano ya radio.

Maisha yanayojiri katika mchezo huu yanatokea katika vijiji vya kufikirika vya KALUMBI na MAKATANI vilivyoko sehemu Fulani huko Tanzania.

Wahapahapa Studios“Homeboys” ni bendi ya muziki ambayo ndio kiunganishi cha matukio yote yanayojiri katika mchezo huu wa kusisimua. Bendi hii inaundwa na wavulana watano ambao baadae kidogo mwanamuziki wa kike anajiunga nao.

Bendi hii inaamini kuwa ikipiga muziki mzuri itafanikiwa kimaisha na hatimae watakuwa nyota kwa washabiki wao wa nyumbani. Bendi inakutana na changamoto kadhaa zinazokinzana na nia yao ya kuwa vinara wa muziki pamoja na kujitengenezea kipato. Kuna migogoro lakini haikosi suluhisho, maslahi ya bendi ni makubwa zaidi ya maslahi ya mtu mmoja mmoja.

Hatuishii kuona maisha ya wanabendi peke yake bali mchezo unazidi kunoga zaidi pale tunapokaribishwa kuona pia maisha ya ndugu, familia, jamaa, na marafiki wa wanabendi. Tunaona migogo na changamoto inayokabili jamii hii na jinsi inavyoamua kuungana pamoja kupambana kuelekea siku mpya.

 

 

 

Maoni  

 
0 #23 JdbxExpaf 2021-01-27 12:55
viagra 25 or 50? viagra 50mg viagra usa http://llviabest.com/ - viagra oline ’
 
 
0 #22 Emqzar 2020-11-17 07:14
professional paper writers - academic writing article help my essay
 
 
0 #21 Ymfncs 2020-11-16 09:34
how to write my thesis - affordable thesis writing best cheap essay
 
 
0 #20 Danielbooft 2018-12-22 00:08
buy cialis
buy cialis
buy viagra
buy viagra
buy cialis
buy cialis
buy viagra
buy viagra
 
 
+4 #19 Jeromini,K. 2011-06-25 08:45
ni mchezo wenye mafunzo mazuri kwa vijana.Wote mmenikosho lakini kwa upekee Tausi,Peter na Rey.HONGERA!
 
 
0 #18 Lupyana Kimela 2011-06-24 17:50
Hey!! PETER and TAUSI are you Acting or IT is Real Issue? Okey!! I do embrace your performance since your Scene is much educative. IT IS GOOD!!
 
 
0 #17 Lupyana Kimela 2011-06-24 17:39
Hi!!! Wahapahapa you are most shining!!I do say congraturation for educating Tanzanians as well as people in Global context it is so Good keep it up meeen!!!!!
 
 
0 #16 Tuse 2011-04-15 14:39
Nimekipenda kipindi hiki cha wahapahapa, nasikiliza kupitia internet, kwakweli kinaelimisha jamii na kinaniwezesha kuhisi niko karibu kabisa na nyumbani Tanzania, naomba mtuwekee sehemu zote za mchezo huo, wengi tunafaidika na kusikiliza.
 
 
-1 #15 mary saninga 2011-02-25 16:02
Hongereni kwa kazi nzuri nawapenda sana i wish ningekuwa mmoja wenu
 
 
+1 #14 RICHARD,faraja 2011-02-15 16:24
Wahapahapa NINAKIPENDA SANA KEEP IT UP
 

Weka Maoni

Security code
Upya

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.