Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Wahapahapa Band PDF Print E-mail

Wahapahapa BandBendi hii ni ya ‘watoto wa hapahapa nyumbani’, huu ndio msingi wa bandi hii kubandikwa jina la “Wahapahapa”.

Bendi hii ndio nguzo kuu katika shughuli nzima ya utayarishaji na kurekodi nyimbo zote unazozisikia katika mchezo wa radio wa “Wahapahapa”.

Tanzania, imethibitishwa kisayansi, kuwa ndio mama wa binadamu wote alizaliwa hapa, basi ukweli huu una kila sababu ya kututhibitishia kwamba hata mirindimo ya miziki yote duniani imezaliwa hapa, na hapa ndipo ilipo bendi ya “Wahapahapa”.

TanzrockBendi ya Wahapahapa inapiga muziki wake kuenzi utamaduni, si tu ule wa mtanzania, bali wa wanadamu wote. Wahapahapa pia inatumia muziki wake kusaidia wasikilizaji katika harakati zao za kujiletea maendeleo, na bila kusahau suala zima la kuienzi lugha tamu ya Kiswahili.

Aina ya muziki unaopigwa na bendi hii umebatizwa jina la “TanzRock”, na hili ndilo jina pia la albamu ya kwanza.

Sikiliza vipande vifuatavyo:

 

 

 

Maoni  

 
0 #945 DavisKef 2018-05-28 04:15
buy viagra online viagra time
 
 
0 #944 JamesRooxy 2018-05-28 04:06
a http://viagraonlineltc.com# viagra alternative
 
 
0 #943 canadian drugstore 2018-05-28 01:34
treatment for asthma people with arthritis
http://onlinedrugstore.us.org/# canadian drugstore
hair transplant reviews the cause of arthritis
canada pharmacy
 
 
0 #942 DavisKef 2018-05-27 14:55
viagra online http://viagraonlineltc.com# order viagra online viagra online opposite natural viagra herb viagra
 
 
0 #941 JamesRooxy 2018-05-27 14:51
t http://viagraonlineltc.com# generic for viagra
 
 
0 #940 DavisKef 2018-05-27 14:22
cialis coupon http://cheapcialisltc.com# where to buy cialis visit your url beyond find out more is there a generic for cialis
 
 
0 #939 JamesRooxy 2018-05-27 14:14
h http://cheapcialisltc.com# buying tadalafil online
 
 
0 #938 JamesRooxy 2018-05-27 12:26
t http://genericviagraltc.com# generic viagra
 
 
0 #937 JamesRooxy 2018-05-27 11:50
o http://viagraonlineltc.com# how long does viagra work
 
 
0 #936 DavisKef 2018-05-27 11:49
cialis over the counter http://cheapcialisltc.com# tadalafil troche buy tadalafil beautiful cheap cialis liquid cialis
 

Weka Maoni

Security code
Upya

BONGO WIKI HII

ZILIZOTUFIKIA

 1. Rama Dee/G Nako/Pipi
  Make Up

 2. Wakazi
  Deuces Remix

 3. Roselin
  Nimekuchagua

 4. Nevy D
  Cute Girl

 5. Watengwa/Waturu
  Hatujaja Kujaribu
Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.