Mseto Wahapahapa |
Wanamuziki wakali wa Kitanzania, wanamuziki wa hapahapa nyumbani, wa kale na wa kizazi kipya, kwa pamoja wanajumuika katika hiki kutayarisha na hatimaye kufyatua albamu inayokwenda kwa jina la “Mseto Wahapahapa”. Albamu hii imesheheni nyimbo/mashairi yenye kuchangamsha fikra za msikilizaji. Mashairi haya yamegusia masuala kama mawasiliano yenye manufaa kati ya wazazi na vijana wao hadi unyanyapaa kwa wanaoishi na VVU. |
|
|
|
|