Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Mseto Wahapahapa Sokoine Stadium, Mbeya - Novemba, 2009

Mbeya Mseto WahapahapaWatu wasiopungua 15,000 walikusanyika Sokoine Stadium, Mbeya tarehe 6 Novemba 2009 na kufurahia shoo kabambe iliyoaandaliwa na Media for Development International-Tanzania (MFDI-TZ) na kuwashirikisha wasanii maarufu wa Kitanzania.

Wasanii waliotumbuiza na kuwaburudisha washabiki siku hiyo ni: Banana Zoro & the B-Band, Enika, Bendi ya Wahapahapa, na Bichuka & Mlimani Park Orchestra.

Fununu kutoka redio mbao zinasema kuwa kutakuwa na matamasha mengine mawili mwanzoni mwa mwaka huu wa 2010 yatayofanyika katika mikoa ya Mwanza na Arusha.

Mbeya Tamasha

 

Weka Maoni

Security code
Upya

BONGO WIKI HII

ZILIZOTUFIKIA

 1. Rama Dee/G Nako/Pipi
  Make Up

 2. Wakazi
  Deuces Remix

 3. Roselin
  Nimekuchagua

 4. Nevy D
  Cute Girl

 5. Watengwa/Waturu
  Hatujaja Kujaribu
Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.