Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?

Je kuna msanii unayemfahamu na hayuko kwenye wavuti yetu? BOFYA HAPA KUMUWEKA

Msondo Ngoma

Hili ni kundi ambalo hapa Tanzania linafananishwa na TPOK Jazz ama Zaiko Langa Langa za Kongo. Kama OTTU Jazz na majina mengine, Msondo Ngoma Music Band imekuwepo tangu 1964 likiongozwa na Maalim Gurumo ambaye ndiye mwanzilishi pekee aliyebakia.

Ikiwa ndiyo bendi pekee kongwe iliyobaki katika ukanda wa afrika mashariki, Msondo Ngoma bado inapiga muziki safi wa dansi katika mahadhi ya rumba, wakijipatia mashabiki lukuki na nyimbo zao zikishika chati haraka huku wakifanya mauzo ya haraka kwa albamu zao wanazozitoa.

 

Msondo Ngoma wanaimba kwa Kiswahili na kila wimbo wanaoutunga unaelezea uzoefu binafsi wa maisha wa wanamuziki na changamoto wanazozipitia ktk kuelekea kutimiza ndoto zao. Nyimbo kama Kilio Cha Mtu Mzima na Kaza Moyo zinaonesha uhalisia wa hayo na zimejizolea umaarufu katika kumbi mbali mbali za muziki na kuvuta mashabiki wa wa rika zote.

 

Maoni  

 
0 #1 Timothyartex 2018-12-21 17:12
buy cialis
buy cialis
buy viagra
buy viagra
buy cialis
buy cialis
buy viagra
buy viagra
 

Weka Maoni

Security code
Upya

BONGO WIKI HII

ZILIZOTUFIKIA

 1. Rama Dee/G Nako/Pipi
  Make Up

 2. Wakazi
  Deuces Remix

 3. Roselin
  Nimekuchagua

 4. Nevy D
  Cute Girl

 5. Watengwa/Waturu
  Hatujaja Kujaribu
Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.