Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?

Je una video ambayo ungependa kuiweka kwenye wavuti yetu? BOFYA HAPA

Wyre & Machozi Band

Juma lililopita Machozi Band ilipata ugeni toka kwa watani zetu wa jadi, Kenya. Mgeni huyu hakuwa mwingine bali mwanamuziki Wyre . Kwa heshima na taadhima nguli hawa wa muziki katika Afrika Mashariki wakawapa wapenzi wao raha kubwa pale walipotumbuiza jukwaa moja. Hii ni sehemu ya show hiyo katika ukumbi wa Nyumbani Lounge.

Wyre pia alipata fursa ya kutumbuiza na nguli mwingine wa muziki Tanzania, Banana Zoro na bendi yake ya Banana.

 

 

Weka Maoni

Security code
Upya

BONGO WIKI HII

ZILIZOTUFIKIA

 1. Rama Dee/G Nako/Pipi
  Make Up

 2. Wakazi
  Deuces Remix

 3. Roselin
  Nimekuchagua

 4. Nevy D
  Cute Girl

 5. Watengwa/Waturu
  Hatujaja Kujaribu
Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.