Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?

Je una video ambayo ungependa kuiweka kwenye wavuti yetu? BOFYA HAPA

Wangu

Mali mpya, mali yenye kiwango toka kwa Jay Dee. Kwa mara nyingine tena Jide anakosha roho za wapenzi wa muziki wake kwa kuendelea kufanya kazi zenye kiwango cha juu. Upigaji wa filamu hii ni wa kiwango cha juu sana, ni kiwango chenye kuleta changamoto katika tasnia nzima ya utengenezaji wa filamu za muziki Tanzania. Natumaini kwamba huu utakuwa ni mwanzo wa kuacha kutengenezea video za muziki kwenye makochi ya sebule za watu na hatimae kufungua vichwa vyetu kuwa wabunifu zaidi na zaidi.

 

Heko Jay Dee, video imetulia, upambaji umetulia, location imekwenda shule, wimbo wako nao uko baruti ajabu. Tunashukuru kwa kuendeleza u-pathfinder mamito. Hekooooo!

 

Maoni  

 
+5 #2 doris lubonera 2011-05-15 12:52
dada mi nakukubali sana
 
 
0 #1 peter Mugurusi 2011-05-13 00:46
super hit! dadaa Jay Dee lipua baruti!
 

Weka Maoni

Security code
Upya

BONGO WIKI HII

ZILIZOTUFIKIA

 1. Rama Dee/G Nako/Pipi
  Make Up

 2. Wakazi
  Deuces Remix

 3. Roselin
  Nimekuchagua

 4. Nevy D
  Cute Girl

 5. Watengwa/Waturu
  Hatujaja Kujaribu
Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.