K-One anaunganisha nguvu na Maunda Zoro, binti kutoka katika familia ya wanamuziki, na kufyatua hii
inayokwenda kwa jina la "Yule". Inapendeza kuzidi kuona sanaa ya muziki ikizidi kuboreka katika kila sekta kuanzia mashairi, mavazi, video, na hata ala za muziki. Sikia "Yule"
|