Anaitwa Adili, mi huwa napenda kumwita Adili wa Chapakazi. Jamaa huwa hasemi sana ila siku akisema masikio yote yanakata kona kumsikiliza.
|
Albino Fulani si tu kwamba ni mwanamuziki, bali pia mwanaharakati na mtetezi wa haki za binadamu, hasa wale wenye ulemavu wa ngozi, ambao kwa siku za hivi karibuni wamekuwa wakishikilia roho
|
Amini ni mmoja wa wasanii waliopata umaarufu kwa haraka sana katika muziki wa Bongo Flava au muziki wa Kizazi kipya kama unavyofahamika.
|
Baada ya juma lililopita Jide na Kidumu kutupambia ukurasa huu, juma hili ni Mtanzania mwingine AT, mzee wa Nipigie, na mwanadada toka Mombasa, Nyota Ndogo, ndo wanaopamba ukurasa huu murua.
|
Banana Zorro ni mmoja wa wanamuziki wa mwanzo kabisa katika uwanja wa Bongo Flava au Muziki wa Kizazi Kipya. Banana ni mtoto wa mwanamuziki mkongwe katika tasnia ya muziki Tanzania,
|
|
Wiki hii kupitia safu hii tunaye sistaduu ambaye ni msanii wa filamu. Licha ya usanii, pia mwanadada
|
images/stories/news_flash/kiba.jpg Wengi wetu tunamfahamu kama "Msinderella", kwani "Sinderela" ndo ilikuwa ngoma yake ya awali ambayo ilimchora kwenye ramani ya muziki wa kizazi kipya. Akafanya shoo kadhaa na kurekodi nyimbo
|
Mungu kaijalia Tanzania vijana wa kutosha wanaozidi kujaza ladha katika tasnia ya muziki kila panapokucha. Ashraff Maundi hasĀ a new number kwenye game, na hii hapa ni video yake inayokwenda kwa jina la "Unanidatisha!"
|
Ambwene Yesaya (AY) ameshanyakua tuzo za kutosha katika tasnia ya muziki, hii ikiwa ni kuanzia nchini kwake na Afrika kwa ujumla.
|
Yuko hot, hakuna ubishi juu ya hilo. Anajua kutumia mwili na sauti yake kuhakikisha ngoma zake zinabamba kila kona. Analipia vyema video zake, hafanyi mambo kibahilibahili.
|
|
|
<< Mwanzo < Iliyopita 1 2 3 4 5 6 7 Inayofuata > Mwisho >>
|
Page 1 of 7 |