Bi. Kidude binti Baraka na mwanamuziki mkongwe sana katika tasnia ya Muziki wa Mwambao (Taarab). Bibi huyu ana maskani yake huko visiwa vya Zanzibar. Akizungumzia historia yake ya muziki
|
"Unauliza penzi kwanza ndio ukipewa nawe pia utoe. ukitoa kabla hujauliza unaweza kuumia kwa kuvunjwa moyo", maneno haya yaliwahi kusemwa na mmoja wa wapenzi wa kibao hiki, "Yako Wapi Mapenzi?", cha Bella.
|
Swahiba huyu, Naseeb Abdul Juma, au kwa jina lake maarufu zaidi, Diamond, amekuwa akitesa vibaya kwenye chati za Bongo na wimbo wake mkali, "Kamwambie".
|
Ferooz, msanii wa muziki wa Bongo Flava, unaweza ukasema pia kuwa ni mmoja wa wasanii wa mwanzo kabisa kuweza kufaidi matunda ya kazi ya muziki hapa nchini Tanzania,
|
Kijana huyu si tu mwimbaji mkali bali pia ni muigizaji mzuri kinoma na amesha kuwa starring kwenye wimbo wa J.I. wa "Kidato Kimoja".
|
|
Bila kuchelewa leo tunajimuvuzisha moja kwa moja hadi kwa watani wetu wa jadi, jirani zetu, Kenya. Huku tunakutana na vijana machachari wanaokwenda kwa jina la Bugz. Jamaa kila ukiwasikiliza unagundua jambo jipya katika mashairi yao.
|
images/stories/news_flash/cpwaax.jpg CP aka Cpwaa ni msanii wa kizazi kipya anayefanya crank ya Bongo. Jamaa alizaliwa 2/3/1982, na akapewa jina la Ilunga Khalifa, kabla ya kujitwika jina la Cpwaa.
|
Binti huyu hana muda mrefu katika gemu, ila ametoka kwa kasi kweli. Anaitwa Fatma Suleiman, au kwa jina la utani "Kilometer".
|
Wiki hii tunaye msanii wa muziki wa Reggae aliyejipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi anayekwenda
|
Kwa muda wa miaka 3 mfululizo, msanii Hardmad, alikuwa kimya katika anga la muziki wenye mahadhi ya Reggae na Ragga. Sasa mchizi karejea na mpya inayokwenda kwa jina la "Ujio Mpya".
|
|
|
<< Mwanzo < Iliyopita 1 2 3 4 5 6 7 Inayofuata > Mwisho >>
|
Page 2 of 7 |