Jaffarai baada tu ya kufanyiwa oparesheni ya kidole tumbo hivi karibuni, ameshindwa kuendelea kujilaza kitandania na kuamua kuungana na mkali wa Bongo Flava toka kundi la Wanaume, Mh. Temba, na kuwazawadia
|
Jecinta Omondi ni jirani yetu, mtani wetu wa jadi kutoka Kenya. Jecinta anaimba nyimbo za kumsifu Mungu.
|
Jina lake kamili ni Juma Issa, lakini kisanii, mwanamuziki huyu anapenda zaidi kujulikana kama J.I. au J-Inshu.
|
Juma Nature text here
|
Kidumu ni mwenyeji wa Rwanda lakini kwa sasa anaishi Kenya, na wakati mwingine ukikaa vibaya unaweza kudhani jamaa ni mwenyeji wa Tanzania maana mara kibao unaweza kugongana naye kitaa.
|
|
Nipe ruhusa ya kusema maneno mawili tu, "Wote Kimya!". Nasema sote tuwe kimya na kusikiliza kipaji toka A-Town, si mwingine bali JCB. Jamaa kaja na namba yake inayokwenda kwa jina la "Sistowasahau",
|
Wako waliosema waimbaji wa nyimbo za rege wanaimba nyimbo za kimapinduzi tu pekee. Hebu sikiliza 'Mapenzi' ya Jhiko Man, halafu upitie tena fikra zako.
|
'Mfalme wa Kaskazini' ndio aka yake ila anafahamika zaidi kama Joh Makini. Jamaa anatokea pale Arusha, na katika wasanii wachache wa Bongo wanaofanya Hip Hop, huyu ni kinara wao.
|
Wiki hii ni zamu ya muimbaji mkongwe wa taarab nchini, Khadija Omar Kopa ambaye anajibu na kufafanua
|
Miaka si mingi imepita ambapo ilikuwa ni nadra sana kusikia wanamuziki chipukizi wa jinsia ya kike. Leo ukifumba jicho kidogo tu mara utakapofungua utakuta wamepanga foleni ndefu, wanaibuka kila siku.
|
|
|
<< Mwanzo < Iliyopita 1 2 3 4 5 6 7 Inayofuata > Mwisho >>
|
Page 3 of 7 |