MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya
|
Mwimbaji na mwandishi wa nyimbo anazoimba, makazi yake kwa sasa ni nchini Finland katika jiji la Helsinki.
|
Mansu-Li amekuwa akifanya kazi zake na studio ya Tongwe Records, na alishawahi kutoa vibao kadhaa vya mahadhi ya Bongo Flava ambavyo vimepata kusumbua sana katika stesheni mbalimbali za radio na luninga Afrika Mashariki kwa ujumla. Moja ya vibao hivyo ni "Najua Unanikubali", ambacho alimshirikisha Langa.
|
Seif Shaban ama kama ajulikanavyo matonya amekuwa mwanamuziki maarufu sana wa bongo fleva katika
|
MB Dogg ni msanii wa bongo fleva ambaye alianza shughuli zake za muziki kwa kishindo na umaarufu waake umeenea nchini Tanzani
|
|
Machozi Band live katika moja ya maonesho yake ya kila wiki pale Mzalendo Pub. Kumekuwa na washabiki wengi wa bendi hii wanaosema kwamba video ya wimbo huu iliyofanywa na
|
Hamadi A. Seneda ama Madee alizaliwa mwaka 1980 jijini Dar. Alisomea mjini Tanga mji ulioko
|
Marlaw ni kifaa kingine chenye uzito wa kutosha katika sekta ya muziki wa kizazi kipya. Amekuwa kila akiingia studio na kufyatua kitu kinakuwa cha uhakika.
|
Ijapokuwa Maunda Zorro hatoi vibao mara kwa mara, vile anavyotoa ni vikali mno.
|
Kutoka TMK, Mh. Temba na Chege wanafunga safari hadi jijini Nairobi na kupata tafu la dada anayesumbua sana anga la muziki wa Kizazi kipya kwa sasa, si mwingine, Wahu. Kwa pamoja wanakuja kupamba ukurasa wetu na wimbo wa "Weka Juu".
|
|
|
<< Mwanzo < Iliyopita 1 2 3 4 5 6 7 Inayofuata > Mwisho >>
|
Page 4 of 7 |