Endapo kuchanganya utaifa,damu na tamaduni mbalimbali ni mojawapo ya chachu za
|
Anakwenda kwa jina la Moracka,ambaye kwa sasa anatamba na track yake ya 'She got it'..na ni juzi kati tu baada ya kurejea zake kutoka Hong Kong alipokuwa kwa ajili ya kutafuta skonga kwa ajili ya kujiendeleza zaidi..
|
Hili ni kundi ambalo hapa Tanzania linafananishwa na TPOK Jazz ama Zaiko Langa Langa za Kongo. Kama OTTU
|
Anayetupambia ukurasa wetu si mwingine, bali gwiji au mfalme wa Taarab Tanzania.
Hapa anakuja na kibao cha kitambo kidogo lakini matata, "Una Nyodo Wewe".
|
Huu ni mwaka wa uchaguzi. Wanasiasa kote duniani wanatambua umuhimu wa muziki katika kujikusanyia mashabiki watakaowapigia kura ili washinde.
|
|
Jaribu kufikiria ukiweza, bendi yenye wanamuziki nguli kama Bob Dylan na Leonard Cohen kama waimbaji watangulizi
|
Mrisho mpoto ni msanii wa muziki ambaye anastahili pongezi za kipekee. Ni msanii mmoja wapo ambao ameamua kuitumia tasnia hii si kwa lengo la kuburudisha pekee, bali pia kuelimisha.
|
Dada huyu ameshashinda tuzo za kumwaga, zikiwemo Msanii Bora Anayechipukia na Wimbo Bora wa Zouk. Si mwingine bali Mwasiti Almas - msanii ambaye ni mfano mzuri sana wa matunda ya Tanzania House of Talent (THT).
|
Espen Sørensen ama Mzungu Kichaa alizaliwa nchini denimark na kukulia Afrika. Ni msomi wa kiwango cha digrii ya muziki asilia na pia shahada ya
|
Huu ni mwaka wa uchaguzi. Wanasiasa kote duniani wanatambua umuhimu wa muziki katika kujikusanyia mashabiki watakaowapigia kura ili washinde.
|
|
|
<< Mwanzo < Iliyopita 1 2 3 4 5 6 7 Inayofuata > Mwisho >>
|
Page 5 of 7 |