Wiki hii, msanii wetu wa wiki ni binti Nuru Magram. Ingawa hatujamsikia kwa muda mrefu, vibao vyake huwa vimesimama kwelikweli.
|
Anayekamata himaya ya Msanii wa Wiki juma hili si mwingine bali Prof. Jay. Msanii wa bongo flavour ambaye ameshakamata tuzo nyingi ndani na nje ya Tanzania.
|
Jamaa na nyimbo yake hii wameshabihian kitu kimoja, kasi ya kufoka mashairi. Jamaa anajua kuchanganya lugha kwenye mashairi yake na bado wimbo ukabaki unavutia.
|
Shaa ni mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya. Safari yake ya muziki ikianzia katika shinda la Coca Cola Pop Star, ambako alifanikiwa
|
Stara ni mfano mzuri wa kizazi kipya cha muziki wa kisasa wa Tanzania. Anaimba R'n'B, souls na zouk kwa
|
|
images/stories/news_flash/pipi.jpg
Traki ya Njia Panda ambayo ni mali ya Barnabas ndiyo iliyomtambulisha, baada ya hapo akagonga kimya lakini sasa ameona its about time! Doreen Aurelian Ponera ‘Pipi’ anakunjuka kitaani akiwa kamili.
|
QD na Ali Kiba walitoa kibao hiki na kikashika kwelikweli, tatizo QD akapotea ghafla kwenye tasnia ya muziki. Anayefahamu habari zake angetudondoshea kidogo, si vyema kuacha kipaji kile kupotea kirahisirahisi.
|
Kuna wakati niliamini kabisa kwamba Saida Karoli ndie mwanamuziki aliyekuwa anabeba bendera ya fani ya muziki wa Tanzania.
|
Wiki hii ni zamu ya msanii wa muziki wa Kizazi Kipya, Anselm Ngaiza ‘Soggy Doggy au Chief Rumanyika
|
Stephen William ndiye msanii wetu wa wiki hii na yafuatayo ni mahojiano baina yangu
|
|
|
<< Mwanzo < Iliyopita 1 2 3 4 5 6 7 Inayofuata > Mwisho >>
|
Page 6 of 7 |