Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Msanii wa Wiki

Je kuna msanii unayemfahamu na hayuko kwenye wavuti yetu? Bofya hapa kumuweka.Z Anto PDF Print E-mail
03 Januari 2011

Ally Mohamed Ahmad, ama Z. Anto kama ajulikanavyo zaidi, alizaliwa jijini Dar mwaka 1988. Mnamo mwaka 2004 aliwaomba

 
Mansu-Li PDF Print E-mail
27 Desemba 2010

Mansu-Li amekuwa akifanya kazi zake na studio ya Tongwe Records, na alishawahi kutoa vibao kadhaa vya mahadhi ya Bongo Flava ambavyo vimepata kusumbua sana katika stesheni mbalimbali za radio na luninga Afrika Mashariki kwa ujumla. Moja ya vibao hivyo ni "Najua Unanikubali", ambacho alimshirikisha Langa.

 
Mad Ice PDF Print E-mail
21 Desemba 2010

Mwimbaji na mwandishi wa nyimbo anazoimba, makazi yake kwa sasa ni nchini Finland katika jiji la Helsinki.

 
Cpwaa PDF Print E-mail
13 Desemba 2010

CP aka Cpwaa ni msanii wa kizazi kipya anayefanya crank ya Bongo. Jamaa alizaliwa 2/3/1982, na akapewa jina la Ilunga Khalifa, kabla ya kujitwika jina la Cpwaa.

 
Joh Makini PDF Print E-mail
06 Desemba 2010

'Mfalme wa Kaskazini' ndio aka yake ila anafahamika zaidi kama Joh Makini. Jamaa anatokea pale Arusha, na katika wasanii wachache wa Bongo wanaofanya Hip Hop, huyu ni kinara wao.

 
More Articles...
<< Mwanzo < Iliyopita 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Inayofuata > Mwisho >>

Page 4 of 14

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.