Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Msanii wa Wiki

Je kuna msanii unayemfahamu na hayuko kwenye wavuti yetu? Bofya hapa kumuweka.Ali Kiba PDF Print E-mail
22 Novemba 2010

Wengi wetu tunamfahamu kama "Msinderella", kwani "Sinderela" ndo ilikuwa ngoma yake ya awali ambayo ilimchora kwenye ramani ya muziki wa kizazi kipya. Akafanya shoo kadhaa na kurekodi nyimbo

 
JCB PDF Print E-mail
15 Novemba 2010

Nipe ruhusa ya kusema maneno mawili tu, "Wote Kimya!". Nasema sote tuwe kimya na kusikiliza kipaji toka A-Town, si mwingine bali JCB. Jamaa kaja na namba yake inayokwenda kwa jina la "Sistowasahau",

 
Pipi PDF Print E-mail
08 Novemba 2010

Traki ya Njia Panda ambayo ni mali ya Barnabas ndiyo iliyomtambulisha, baada ya hapo akagonga kimya lakini sasa ameona its about time! Doreen Aurelian Ponera ‘Pipi’ anakunjuka kitaani akiwa kamili.

 
Amini PDF Print E-mail
01 Novemba 2010

Amini ni mmoja wa wasanii waliopata umaarufu kwa haraka sana katika muziki wa Bongo Flava au muziki wa Kizazi kipya kama unavyofahamika.

 
T.I.D PDF Print E-mail
26 Oktoba 2010

Kila mwaka huwa kuna msanii au nyimbo fulani ambayo inatokea kuwa gumzo sana katika ulimwengu wa washabiki wa tasnia ya muziki. "Nyota Yako" ni namba ambayo iliepuliwa

 
<< Mwanzo < Iliyopita 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Inayofuata > Mwisho >>

Page 5 of 14

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.