Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Msanii wa Wiki

Je kuna msanii unayemfahamu na hayuko kwenye wavuti yetu? Bofya hapa kumuweka.Adili PDF Print E-mail
26 Oktoba 2010

Anaitwa Adili, mi huwa napenda kumwita Adili wa Chapakazi. Jamaa huwa hasemi sana ila siku akisema masikio yote yanakata kona kumsikiliza.

 
Ferooz PDF Print E-mail
19 Oktoba 2010

Ferooz, msanii wa muziki wa Bongo Flava, unaweza ukasema pia kuwa ni mmoja wa wasanii wa mwanzo kabisa kuweza kufaidi matunda ya kazi ya muziki hapa nchini Tanzania,

 
Juma Nature PDF Print E-mail
19 Oktoba 2010

Juma Nature text here

 
Banana Zorro PDF Print E-mail
19 Oktoba 2010

Banana Zorro ni mmoja wa wanamuziki wa mwanzo kabisa katika uwanja wa Bongo Flava au Muziki wa Kizazi Kipya. Banana ni mtoto wa mwanamuziki mkongwe katika tasnia ya muziki Tanzania,

 
Linah PDF Print E-mail
30 Septemba 2010

Miaka si mingi imepita ambapo ilikuwa ni nadra sana kusikia wanamuziki chipukizi wa jinsia ya kike. Leo ukifumba jicho kidogo tu mara utakapofungua utakuta wamepanga foleni ndefu, wanaibuka kila siku.

 
<< Mwanzo < Iliyopita 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Inayofuata > Mwisho >>

Page 6 of 14

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.