Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Msanii wa Wiki

Je kuna msanii unayemfahamu na hayuko kwenye wavuti yetu? Bofya hapa kumuweka.AT PDF Print E-mail
30 Septemba 2010

Baada ya juma lililopita Jide na Kidumu kutupambia ukurasa huu, juma hili ni Mtanzania mwingine AT, mzee wa Nipigie, na mwanadada toka Mombasa, Nyota Ndogo, ndo wanaopamba ukurasa huu murua.

 
Kidumu PDF Print E-mail
30 Septemba 2010

Kidumu ni mwenyeji wa Rwanda lakini kwa sasa anaishi Kenya, na wakati mwingine ukikaa vibaya unaweza kudhani jamaa ni mwenyeji wa Tanzania maana mara kibao unaweza kugongana naye kitaa.

 
Queen Darleen PDF Print E-mail
30 Septemba 2010

QD na Ali Kiba walitoa kibao hiki na kikashika kwelikweli, tatizo QD akapotea ghafla kwenye tasnia ya muziki. Anayefahamu habari zake angetudondoshea kidogo, si vyema kuacha kipaji kile kupotea kirahisirahisi.

 
Untouchable PDF Print E-mail
28 Septemba 2010

Untouchable na Kassim wameamua kutupambia ukurasa wetu na kibao chao kikali kinachokwenda kwa jina la "Binadamu".

 
Machozi Band PDF Print E-mail
28 Septemba 2010

Machozi Band live katika moja ya maonesho yake ya kila wiki pale Mzalendo Pub. Kumekuwa na washabiki wengi wa bendi hii wanaosema kwamba video ya wimbo huu iliyofanywa na

 
<< Mwanzo < Iliyopita 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Inayofuata > Mwisho >>

Page 8 of 14

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.