Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Msanii wa Wiki

Je kuna msanii unayemfahamu na hayuko kwenye wavuti yetu? Bofya hapa kumuweka.Suma Lee PDF Print E-mail
27 Septemba 2010

Suma Lee, kijana wa mwambao, kulekule Tanga, alikuwa ni mmoja wa wasanii wa chache wa pande hizo kuwa mmoja wa walioburudisha sana katika anga la muziki wa kizazi kipya mara tu muzikiĀ 

 
Christian Bella PDF Print E-mail
27 Septemba 2010

"Unauliza penzi kwanza ndio ukipewa nawe pia utoe. ukitoa kabla hujauliza unaweza kuumia kwa kuvunjwa moyo", maneno haya yaliwahi kusemwa na mmoja wa wapenzi wa kibao hiki, "Yako Wapi Mapenzi?", cha Bella.

 
X-Plastaz PDF Print E-mail
27 Septemba 2010

"Kipaza sauti, kalamu, na karatasi ndivyo vitu pekee tunavyohitaji", wanasema jamaa wa kundi la muziki wa Hip Hop la X-Plastaz, wa nchini Tanzania, ambao kwa sasa wanaishi nchini Sweden wakifanya shughuli

 
Mwasiti PDF Print E-mail
27 Septemba 2010

Dada huyu ameshashinda tuzo za kumwaga, zikiwemo Msanii Bora Anayechipukia na Wimbo Bora wa Zouk. Si mwingine bali Mwasiti Almas - msanii ambaye ni mfano mzuri sana wa matunda ya Tanzania House of Talent (THT).

 
Gelly PDF Print E-mail
27 Septemba 2010

Kijana huyu si tu mwimbaji mkali bali pia ni muigizaji mzuri kinoma na amesha kuwa starring kwenye wimbo wa J.I. wa "Kidato Kimoja".

 
<< Mwanzo < Iliyopita 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Inayofuata > Mwisho >>

Page 10 of 14

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.