Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Msanii wa Wiki

Je kuna msanii unayemfahamu na hayuko kwenye wavuti yetu? Bofya hapa kumuweka.Bi Kidude PDF Print E-mail
27 Septemba 2010

Bi. Kidude binti Baraka na mwanamuziki mkongwe sana katika tasnia ya Muziki wa Mwambao (Taarab). Bibi huyu ana maskani yake huko visiwa vya Zanzibar. Akizungumzia historia yake ya muziki

 
Mzee Yusuph PDF Print E-mail
27 Septemba 2010

Anayetupambia ukurasa wetu si mwingine, bali gwiji au mfalme wa Taarab Tanzania.

Hapa anakuja na kibao cha kitambo kidogo lakini matata, "Una Nyodo Wewe".

 
Professor Jay PDF Print E-mail
26 Septemba 2010

Anayekamata himaya ya Msanii wa Wiki juma hili si mwingine bali Prof. Jay. Msanii wa bongo flavour ambaye ameshakamata tuzo nyingi ndani na nje ya Tanzania.

 
Wahapahapa Band PDF Print E-mail
06 Aprili 2010

Paul Ndunguru and the Wahapahapa BandBendi hii ni ya ‘watoto wa hapahapa nyumbani’, huu ndio msingi wa bandi hii kubandikwa jina la “Wahapahapa”.

 
<< Mwanzo < Iliyopita 11 12 13 14 Inayofuata > Mwisho >>

Page 14 of 14

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.