Wale waliozaliwa zamani hawahitaji maelezo mengi kuhusu 'Mzee wa Kitambaa cheupe". Namzungumzia
|
Ni vyema leo tukatazama wenzetu hapo Kenya wanafanya nini. Video imetengenezwa Kenya na mandhari ni ya huko,
|
Babu Sikare ama almaarufu Albino Flani ni jina zito katika tasnia ya muziki. Babu si kwamba anaishia kuwa mwanamuziki tu pia ni mwanaharakati
|
Chiddi Benz, Chiku na washkaji zake wakifyatuka na Hip Hop ya Kibongo wakitumia mtindo huru kuachia mashairi yao ambayo yako katika namna fulani ya kujigamba, hata hivyo Hip Hop
|
Juma hili tunaendelea kudodosa filamu ya Mwamba Ngoma, na aliye kwenye safu hii juma hili si mwingine bali mwanamuziki wa nyimbo za injili (Gospel), Flora Mbasha. Flora anaelezea yaliyojiri katika utengenezaji wa video yake iliyowahi kujiri pia katika albamu ya Mseto wa Wahapahapa.
|
|
Christine Salem ni mwanamuziki toka visiwa vya Reunion, anaimba na kupiga chombo kinachokwenda kwa jina la Kayamb ambacho
|
Bendi hii ni ya ‘watoto wa hapahapa nyumbani’, huu ndio msingi wa bandi hii kubandikwa jina la “Wahapahapa”.
|
Chiddi Benz, Chiku na washkaji zake wakifyatuka na Hip Hop ya Kibongo wakitumia mtindo huru kuachia mashairi yao ambayo yako katika
|
Hii ni sehemu ya show ya Hard ambayo tulipata kuizungumzia hapo awali. Show hii ilikuwa ni maalum kwa ajili ya uzindizi
|
images/stories/news_flash/hibo2.jpg Kutoka katika Filamu ya "Mwamba Ngoma" tunaendelea kuzungumzia muziki wa Tanzania kwa kukumegea ndogondogo toka kwenye tambara hilo. Leo tunazungumzia Bongo Flava na Hip Hop, nini asili yake, nini ni nini,
|
|
|
<< Mwanzo < Iliyopita 1 2 3 4 5 6 7 8 Inayofuata > Mwisho >>
|
Page 2 of 8 |