Mipasho, mitikisiko, mirindimo ya pwani, haya ni baadhi ya majina yanayotumika kumaanisha muziki wa Taarab. Wengi wetu leo tunawaona watu kama kina Mzee Yusuf na bendi yake ya Jahazi wakiwa maarufu nchini kote, lakini ukweli ni kwamba wako ambao hasa ndio walioleta muziki huu nchini mwetu.
|
Sikiliza sehemu ya mahojiano aliyofanya Bichuka, mwanamuziki mkongwe, katika filamu ya Mwamba Ngoma. Katika mahojiano
|
Kundi la muziki wa aina ya Mchiriku a.k.a Mnanda (Jagwa Music) limeanza makamuzi ya kasi kubwa nchini ya Denmark. Hizi ni baadhi ya
|
Sauda Simba ni vitu vingi kwenye sanaa lakini kilichotokea kumweka kwenye kwenye mwanga zaidi ni tasnia ya muziki. Sauda ana albamu mbili
|
Juma hili Jay Dee na bendi yake ya Machozi wametimiza miaka kumi ndani ya gemu.
|