Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?

Je una video ambayo ungependa kuiweka kwenye wavuti yetu? BOFYA HAPA

Carola Kinasha na Tasnia ya Muziki

Karola Kinasha anazungumza na Vanessa Mdee kuhusu safari na harakati zake za kimuziki. Karola ni mmoja wa wanamuziki wakongwe kabisa katika tasnia ya muziki wa Tanzania.

 
Salamu za King Kiki

King Kiki, mkongwe wa muziki wa dansi nchini, msanii ambaye tunaweza kumwita chuma cha pua, maana yuko fiti hadi leo na style yake ya "Kitambaa Cheupe" ingali hai na wala haina dalili za kufifia,

 
Bi Kidude Anaelezea Maana ya Muziki

Bi Vanessa Mdee anamhoji mkongwe wa muziki wa taarab nchini Tanzania, Bi Kidude, kuhusu maana ya muziki wa Kiswahili. Kwa maelezo yake Bi Kidude, muziki wa

 
Juma Nature na Mitindo Huru

Juma Nature ni jina kubwa katika muziki wa Kizazi Kipya au Bongo Flava. Nature pia ni mmoja wa wanamuziki wa mwanzo kabisa kuanza kufaidi matunda ya kazi ya muziki. Unaweza ukasema

 
Banana na Mzee Zorro

Banana na baba yake, Mzee Zorro mwenyewe, wakipasha na kuzungumzia muziki na harakati zao katika tasnia hiyo toka kwa baba hadi kwa mwana.

 
Mzee Yusuf Live Coco Beach

Mzee Yusuf alishirika katika tamasha la Wahapahapa mwaka jana lililofanyika pale Coco Beach, bila shaka unayo kumbukumbu nzuri. Iwapo lilikupita unaweza ukalitazama hapa.

 
Ipo Mikononi Mwetu

'Ipo Mikononi Mwetu' ni tamasha la muziki lililofanyika juma lililopita katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Unaweza kupata habari zake kwa undani kwa kubofya HAPA.

 
Wahapahapa Ndani ya Runway

Bendi ya Wahapahapa inatumbuiza kila Alhamisi katika ukumbi wa Runway pale Shopper's Plaza, kiingilio huwa ni mguu wako na upenzi wako kwa muziki wa nyumbani. Wahapahapa

 
Wahapahapa Live Coco Beach

Hili lilikuwa onesho la wazi lililofanyika mwaka 2009 katika ufukwe wa Coco. Wahapahapa walitumbuiza wapenzi wa muziki takribani elfu thelathini. Pamoja nao walikuwepo wanamuziki wengine

 
LBT na Preemo

Unaweza ukawa umesikia Bongo Flava kali, siwezi kukukatalia, lakini hebu msikilize LBT na Preemo halafu unipe ripoti. LBT ni Mbongo ambaye yuko Mbelembele (USA) akiwakilisha Bongo Flava

 
<< Mwanzo < Iliyopita 1 2 3 4 5 6 7 8 Inayofuata > Mwisho >>

Page 5 of 8

BONGO WIKI HII

ZILIZOTUFIKIA

 1. Rama Dee/G Nako/Pipi
  Make Up

 2. Wakazi
  Deuces Remix

 3. Roselin
  Nimekuchagua

 4. Nevy D
  Cute Girl

 5. Watengwa/Waturu
  Hatujaja Kujaribu
Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.