Ashimba, mwanamuziki wa Kitanzania ambaye amekuwa hachezi mbali na masikio ya wapenzi wengi wa Muziki wa nyumbani, muda si mchache alipata kukutana na wakali wengine, Pandeiro Repique Duo, toka BrazilĀ
|
Siku hizi inaonekana kama Tanzania kila mtu aweza kuimba, lakini mtihani unakuja kwenye ni kitu gani hasa mtu anaimba?
|
Wanatoka katika mazingira ya kimaskini lakini hicho si kikwazo kwa vijana wa Jagwa ambao wanapiga muziki wenye mahadhi ya chakachaka, almaarufu kama Mchiriku.
|
Inapendeza kuwa raia wa Afrika Mashariki na leo tunakula kona hadi Uganda. Huku tunakutana na wanadada wa Blue 3 na kibao chao kilichowahi kuwa matata mno cha 'Hitaji". Kula bata mdau!
|
Unajua kuna wakati ukiwatazama wasanii wa muziki jukwaani unaweza kudhani labda hawana maisha mengine zaidi ya hayo ya usanii. Ukitazama video hii ya Karola na familia yake
|
|
'Shamba' ni moja ya nyimbo iliyo katika albamu ya Mseto Wahapahapa, inaimbwa na mkali Lady Jay Dee. Nyimbo inawaasa watu kuwatunza vyema mabinti wadogo wasirubuniwe kwa fedha na
|
Cheki Banana akitayarisha ngoma yake ya Zoba, ni ngoma ambayo imeshika kisawasawa katika anaga la muziki wa Bongo Flava.
|
Ukiona vyaelea ujue vimeundwa. Banana unayemuona kapendeza na kuimba nyimbo zinazobamba kinoma katika majukwaa haamki tu asubuhi na kushika mic, jamaa anajifua kishenzi.
|
Jay Dee si kwamba anakomaa na fani ya muziki pekee, anafanya shughuli kadhaa za kijamii pia, lakini huzifanya taratibu bila kelele nyingi.
|
Wengi wetu tunamfahamu Mzee Yusuf kama gwiji la muziki wa Mwambao, lakini shuruti tufahamu kuwa Mzee Yusuf anapenda sana kujichnganya mtaani na huko ndiko anakopata visa
|
|
|
<< Mwanzo < Iliyopita 1 2 3 4 5 6 7 8 Inayofuata > Mwisho >>
|
Page 6 of 8 |