Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?

Je una video ambayo ungependa kuiweka kwenye wavuti yetu? BOFYA HAPA

Mzee Yusuph - Mesto Wahapahapa

Mzee Yusuf, Mfalme wa mashairi ya mirindimo ya Pwani. Katika kibao hiki kilicho katika Mseto Wahapahapa Yusuf anazungumzia jinsi inavyowezekana kwa wapenzi wawili walioathirika na VVU/UKIMWI

 
Flora Mbasha - Mkali wa Gospo Bongo

Ukikutana na mtu anayebisha kwamba Flora Mbasha hana mpinzani kwa sasa katika wanamuziki wanaotumia sauti zao kumsifu Aliyewaumba basi ujue mtu huyo kazaliwa ubishi kaukumbatia.

 
Mfahamu Hassan "Stereo" Bitchuka

Huyu ni mmoja wa wakongwe wa muziki wa Tanzania. Msikilize anachosema, alikotokea na anakokwenda katika fani yake ya muziki.

 
Flora Mbasha - Jipe Moyo

Muziki hisia, ukitaka kuona hisia toka kwa wanamuziki wa Kitanzania usitazame kwingine anza na Flora Mbasha. Flora anaimba nyimbo za kumsifu Muumba wake, Gospel

 
Unawakumbuka Daz Nundaz?

Anayeweza kutudondoshea ndogondogo za hawa jamaa afanye hivyo. Daz Nundaz, jamaa wana mchango mkubwa sana katika muziki wa Bongo Flavor. Tujikumbushe Sikia Soo.

 
Lady Jay Dee Anaongea

Tazama kajivideo haka ujipati kajihistoria kafupi ka mwanadada mkali wa muziki wa kizazi kipya Tanzania, Lady Jaya Dee. Sikiliza na tazama alikotokea, na ujionee na kusikia ni zipi ndoto zake.

 
Uniform Blue - Sauti Sol

Ni vyema leo tukatazama wenzetu hapo Kenya wanafanya nini. Video imetengenezwa Kenya na mandhari ni ya huko, wimbo unavyoimbwa na hawa jamaa wa Sauti Sol huwezi kuipata kwingine kokote zaidii ya Kenya.

 
Ustaarabu wa Muziki wa Tanzania na Vanessa Mdee

Tukiwa tunakaribia kufunga mwaka 2009, si vibaya tukitazama kilichojiri katika anga la muziki kwa kutembelea tamasha maarufu la Sauti za Busara na kuona nini hasa kilijiri.

 
Bitchuka na Mlimani Park Ochestra

Bitchuka na bendi nzima ya Mlimani Park Ochestra wakipiga live katika moja video za albamu ya Mseto Wahapahapa. Mmoja wa watu waliotazama video hii aliwahi kusema, "Ahsante sikinde kwa

 
Jhikoman Akitumbuiza Zanzibar, 2007

Jhikoman, mwanamuziki wa rege, Wahapahapa Tanzania, ni mwanamuziki ambaye amefanikiwa kutumbuiza sehmu mbalimbali duniani na kukubalika si tu kwa mziki wake bali hata mashairi

 
<< Mwanzo < Iliyopita 1 2 3 4 5 6 7 8 Inayofuata > Mwisho >>

Page 7 of 8

BONGO WIKI HII

ZILIZOTUFIKIA

 1. Rama Dee/G Nako/Pipi
  Make Up

 2. Wakazi
  Deuces Remix

 3. Roselin
  Nimekuchagua

 4. Nevy D
  Cute Girl

 5. Watengwa/Waturu
  Hatujaja Kujaribu
Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.