Je una video ambayo ungependa kuiweka kwenye wavuti yetu? BOFYA HAPA
Banana Zoro akichapa kazi katika Tamasha la kwanza kabisa la muziki la Wahapahapa, lilifanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee, mwaka 2008. Tazama video hii uone mtoto wa kiume anavyolisakanyua jukwaa.
MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya
Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo
MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi