Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Video ya Mhariri


Muziki Wa Dansi ndani ya Ulaya PDF Print E-mail
28 Septemba 2010

Nimeona tuwapatie wadau wa muziki wa dansi waone jinsi Muziki wa dansi unavyoendelezwa huku Ulaya na kina Saidi Kanda (Ex- Matimila), Moses (Ex-Muungano dancing troupe) na wote

 
Kajumulo na Bush Band PDF Print E-mail
28 Septemba 2010

Unamkumbuka Alex Kajumulo? Jamaa alikuwa ni mpigaji soka wa Tanzania, halafu akaenda zake mamtoni kupiga boli, akawa tajiri wa kufa mtu, akarejea Bongo miaka fulani ya mwanzo

 
Mpemba Halisi PDF Print E-mail
28 Septemba 2010

Mrisho Mpoto sio mshairi peke yake nchini Tanzania, washairi wanazidi kuwafikia wapenzi wa tasnia hiyo ya muziki kila kukicha. Katika tembetembea yangu katika mablogu mbalimbali

 
Mwisho Wake Lini? PDF Print E-mail
28 Septemba 2010

Tangu nilipomsikia Afande Sele kwa mara ya kwanza kabisa nilifahamu kuwa muziki hatimae umepata wa kuutumikia. Siku zote huyu mshkaji amekuwa na busara zilizomshinda 

 
Show ya Chege na Temba PDF Print E-mail
28 Septemba 2010

Cheki vijana hawa wa Wanaume TMK walivyolivalia njumu suala zima la kuwafikisha kileleni washabiki wa muziki wao siku walipopatiwa fursa ya kuwarusha watu pale Coco Beach.

 
<< Mwanzo < Iliyopita 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Inayofuata > Mwisho >>

Page 7 of 15

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.