Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Video ya Mhariri


Twanga Bab'kubwa PDF Print E-mail
28 Septemba 2010

Twanga Pepeta ni bendi maarufu ya dansi nchini Tanzania. Bendi hii ni bendi yenye ubavu mkubwa mno kwani mwaka huu katika tuzo za muziki za Kili, ilijinyakulia tuzo tatu na kutoweka nazo.

 
Sunday Bonanza PDF Print E-mail
28 Septemba 2010

Shuhudia mambo ya Sunday Bonanza la Muziki na Michezo linalofanyika kila Jumapili pale katika viwanja vya Leaders. Hii ni sehemu tu ya burudani yote, kwa uhondo kamili usikose Jumapili.

 
Old Skul Inakuja Bongo PDF Print E-mail
28 Septemba 2010

Mratibu wa Tamasha la Kwanza la Old Skul Tanzania linalotarajiwa kufanyika Julai 7, 2010 katika viwanja vya Karimjee akiongelea asili na maandalizi ya tamasha hilo ambalo linaandaliwa na 

 
Elista Elia PDF Print E-mail
28 Septemba 2010

Lister Elia ni mmoja wa wanamuziki wakongwe katika tasnia ya muziki wa Tanzanani. Kwa sasa jamaa anaishi zake nchini Japan akipiga muziki, lakini pia akifundisha muziki, na kuandika

 
X-Plastaz - Mic Moja PDF Print E-mail
28 Septemba 2010

"Kipaza sauti, kalamu, na karatasi ndivyo vitu pekee tunavyohitaji", wanasema jamaa wa kundi la muziki wa Hip Hop la X-Plastaz, wa nchini Tanzania, ambao kwa sasa wanaishi nchini Sweden

 
<< Mwanzo < Iliyopita 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Inayofuata > Mwisho >>

Page 8 of 15

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.