Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Video ya Mhariri


Ashimba Ugaibuni PDF Print E-mail
28 Septemba 2010

Ashimba, mwanamuziki wa Kitanzania ambaye amekuwa hachezi mbali na masikio ya wapenzi wengi wa Muziki wa nyumbani, muda si mchache alipata kukutana na wakali wengine, Pandeiro Repique Duo, toka BrazilĀ 

 
Mseto Wahapahapa - Shamba PDF Print E-mail
28 Septemba 2010

'Shamba' ni moja ya nyimbo iliyo katika albamu ya Mseto Wahapahapa, inaimbwa na mkali Lady Jay Dee. Nyimbo inawaasa watu kuwatunza vyema mabinti wadogo wasirubuniwe kwa fedha na

 
Kutoka Mseto wa Wahapahapa PDF Print E-mail
28 Septemba 2010

Siku hizi inaonekana kama Tanzania kila mtu aweza kuimba, lakini mtihani unakuja kwenye ni kitu gani hasa mtu anaimba?

 
Banana Akirekodi Zoba PDF Print E-mail
28 Septemba 2010

Cheki Banana akitayarisha ngoma yake ya Zoba, ni ngoma ambayo imeshika kisawasawa katika anaga la muziki wa Bongo Flava.

 
Jagwa PDF Print E-mail
28 Septemba 2010

Wanatoka katika mazingira ya kimaskini lakini hicho si kikwazo kwa vijana wa Jagwa ambao wanapiga muziki wenye mahadhi ya chakachaka, almaarufu kama Mchiriku.

 
<< Mwanzo < Iliyopita 11 12 13 14 15 Inayofuata > Mwisho >>

Page 11 of 15

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.