Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
23 Juni 2011

Sultani Afunika ZIFF Hadi Aibu

Sultani Afunika ZIFF Hadi Aibu

Mwanamuziki wa Zanzibar ambaye amejitwalia tuzo mbili, Sultan Abubakari Sultan 'Sultan King' amesema anatarajia kuhamisha makazi yake jijini Dae er salaam katika miezi ya hivi karibuni.

amesema lengo lake ni kuitangaza Zanzibar katika medani ya muziki wa Bongo Fleva katika anga ya Dar na kujulisha watu kwamba Zanzibar kunavipaji vingi kulikjo watu wanavyofikiria.

Amesema kwa mara ya kwanza aliwahi kufanya kazi akiwa katika kundi la Nyumba ya Sanaa inayojulikana kama THT,lakini alitoka na kuja kufanya kazi nyumbani kutokana na maslahi madogo.

Amesema kwa sasa anaandaa vitu vikali zaidi ili kuwa katika hari mzuri pindi atakapokuwa jijini DSM

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.