Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
23 Juni 2011

'Mzee wa Tembo' Ndani ya Bongo

'Mzee wa Tembo' Ndani ya Bongo

MWANAMUZIKI mwenye machachali hasa kwa mtindo wa kupaka rangi nyekundu na nyano katika nywele zake, toka nchini , Elephant Man 'Enegyn god' , ametua jijini Dar es salaam kwaajili ya Show kabambe itakayodondoshwa siku ya jumamosi, kando kando yaani fukwe za bahari Hindi pale Mbalamwezi Beach, katika bonanza la Star8 Music Beach Party.

Hii itakuwa ni histori nzuri kwa nchi ya Tanzania katika tasnia ya muziki kwa kudondodosha wasanii wawili, yaani Shaggy na Elephant Man kutoka nchi moja na walizaliwa mji mmoja huko King stone Jamaika, na kufanya Show mbili tofauti ndani ya Tanzania kwa kupishana masaa kadhaa.

Shaggy atakuwa akitoa buludani ndani ya usiku wa Ijumaa pale Ngome Kongwe Zanzibar , katika tamasha la Filamu Zanzibar 'Ziff' wakati Elephant Man akitoa buludani jijini Dar es salaam pale Mbalamwezi siku ya jumamosi usiku.

Hii inaonyesha wazi kwamba Tanzania sasa ipo juu kimuziki, na ndiyo maana hata wasanii wa nje hawahofiii katika masuala ya mapokezi na kutunzwa kwa heshima yao, kama Masuper Star.

Endelea kufuatilia hapa hapa Bongo5, uwe wa kwanza kujua wasanii toka nje watakao kuja kufanya Show, Serengeti Fisesta 2011

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.