Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
25 Juni 2011

Shaa Kutumbuiza BBA Jumapili

Shaa Kutumbuiza BBA Jumapili

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Sarah Kaisi ‘Shaa’, anatarajia kutumbuiza katika shindano la Big Brother Africa Jumapili hii.

Msanii huyo atatumbuiza wakati wa ‘show’ ya kila Jumapili ya  kutolewa kwa mshiriki atakayekuwa na kura chache.

Katika shindano hilo, kila wiki mshiriki mmoja au wawili hutolewa, hivyo wasanii kutoka nchi mbalimbali za Afrika hutumbuiza kabla ya kutolewa kwa washiriki hao.

Shaa atakuwa msanii wa pili kutoka Tanzania kutumbuiza katika ‘show’ hiyo, baada ya Ambwene Yesaya kufanya hivyo mwaka jana, wakati wa Big Brother All Stars.

Msanii huyo anatarajiwa kuondoka leo ama kesho asubuhi kwa ajili ya kufanya mahojiano katika kituo cha Chanel O, kisha Jumapili kulipua burudani ya aina yake katika onyesho hilo linalohudhuriwa na mashabiki wengi.

Habari na Kulthum Maabad

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.